Category: Simba na yanga 2020 matokeo

Simba na yanga 2020 matokeo

Baada ya kosa kosa hiyo Simba SC nao walijibu pigo na kuendelea kushambuliana kwa zamu kwa dakika 23 za mwanzo kabla ya Banda kupewa kadi nyekundu. Yanga SC waliandika goli la kwanza katika dakika ya 39 kupitia kwa Donald Ngoma ambaye aliwahi mpira ambao Hassan Kessi aliurejesha kwa kipa na mpira kuwa mfupi na kupelekea Ngoma kumchambua kipa na kuiandikia Yanga goli la uongozi. Goli hilo lilpeleka Yanga kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa golina katika kipindi cha pili Simba SC walijaribu kusaka goli la kusawazisha bila mafanikio.

Katika dakika ya 71 Amisi Tambwe akiungfa krosi ya mtokea benchi Geofrey Mwashiuya na kuiandikia yanga goli la pili, goli lililo imaliza Simba SC na kupelekea kupoteza mchezo kwa kukubali kufungwa goli na yanga. Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBetJiunge Hapa.

Tufuate instagramfacebook na twitter.

1588 divided by 7 with remainder

Pia kutangaza nasi tutumie emailbongosoka gmail. Soma Habari zaidi kuhusu: Simba Yanga. Yanga sc waliuwanza mchezo kwa kasi na katika dakika ya kwanza kama mpigaji wa faulo angeipiga vyema yanga wangeandika goli la kwanza lakini mpira wake uliishia mikononi mwa kipa Vicent Agban. Tunadhani ungependa kuzisoma hizi Yanga waibomoa Simba, sasa kuoga mamilioni.AnonymousJanuary 10, at PM Yanga walijua watapenya kwa urahisi.

Wakijua kwamba wanaweza kupambana na Simba waliamua kupumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza.

simba na yanga 2020 matokeo

Yondani aliingia toka benchi baada ya kuwa tayari wamefunga. Lamine aliendelea kubaki benchi Haruna na Sibomana hawakuwepo. Golini alikaa kipa namba tatu. Lengo kikosi cha kwanza kiwe fiti ili kucheza mchezo wa nguvu na rafu kama ilivyokuwa kwa Prison na Simba.

Coweta county sheriff

Wakatunguliwa sekunde ya mwisho gemu plan ikaanza upya. Kikawa kisingizio toka kwa Nungaz eti wamekuja kushindana sio kushinda na kuwa hawakulitaka kombe lisije waumizia wachezaji! Sasa sijui kombe gani wana uhakika nalo KWA sasa kila mmoja anacho kile ambacho alikuwa akijenga picha kwa muda wa miezi kadhaa nyuma ambapo kila mmoja alikuwa anavutia upande wake kwa kile alichoamini ni bora. Leo sitapenda kuzungumzia matokeo kwani kila mmoja anatambua kuwa ilikuwa sare ya kufungana mabao pale uwanja wa Taifa kwa hilo inatosha kujua kwamba hizi timu zinajuana na zina historia kwa muda mrefu.

Kidogo tu naweza kugusia kwa kuwapa pongezi wachezaji wa Yanga Kwa kuonyesha ukomavu wao mwanzo mwisho bila kukata tamaa licha ya kuwa nyuma kwa kufungwa mabao mawili na watani zao Simba ambao walipania kushinda. Ukweli ni kwamba kilichowapa nguvu ya kupambana Yanga ni ile nguvu waliyokuwa nayo na sapoti kutoka kwa mashabiki walionyesha nidhamu ya soka kwa kutulia na kuwaheshimu wapinzani wao.

Kwa upande wa Simba hili linapaswa liwe fundisho hawapaswi kudharau timu pinzani hata wakiwa mbele kwa mabao matano kabla mpira haujaisha kwani kilichotokea baada ya kufungwa bao moja walipoteza matumaini na kuanza kucheza bila kujali wanafanya nini.

Walisahau majukumu yao uwanjani na wakaruhusu kuanza kumtafuta mchawi nani ndani ya uwanja wakati mpira unaendelea na hakuna ambaye alikuwa anajali jambo hili hiki kiliwavuruga Simba. Inaonesha kuwa ndani ya Simba kwa sasa kila mchezaji ni mkubwa kuliko mwenzake hakuna anayetaka kumsikiliza mtu mwingine zaidi ya kufanya kile anachokiamini hili halipo sawa na kama ni utamaduni mpya unapoteza ladha na asili ya Simba na mpira kiujumla.

Mpira hautoi muda wa kuanza kumtafuta mchawi wakati bado kuna muda wa kupambana badala yake unatoa muda wa kurekebisha makosa na kuongeza mshikamano mwanzo mwisho. Nimeamua niligusie kidogo kwani likifumbiwa macho kwa sasa litakua tatizo kubwa ambalo litafuta mazuri yote ya wachezaji ndani ya timu pamoja na uongozi kiujumla.

Pia mashabiki kwa kujitokeza uwanjani nawapa pongezi wote si wa Simba wala Yanga uwanja ulipendeza na hamasa ilionekana mwanzo mwisho ndani na nje ya uwanja wa Taifa. Hiki ndicho ambacho kinatakiwa kifanyike siku zote na kuendelea kuona ni namna gani mambo yanaweza kubadilika ndani ya mwaka kwenye suala la ushangiliaji na kujitokeza uwanjani. Simba walikuwa wanyonge baada ya matokeo na hii ilitokana na kujiamini kupiga kiasi wakiwa ndani ya uwanja kwa hili linapaswa lifanyiwe kazi pia na benchi la ufundi pamoja na uongozi kiujumla ujue ni namna gani unaweza kurudisha ari ya timu.

Joyeria diana cali 14 de calima telefono

Kwa mwenendo walionao kwa sasa endapo wataendelea namna hii na kujiachia wakiwa uwanjani mambo yatakuwa tofauti na vile ambavyo wanafikiria kwani wachezaji walionyesha kukubali matokeo waliyoyapata. Morali ya timu inapaswa ijengwe upya na iishi muda wote ndani ya dakika tisini mpaka mwamuzi atakaposema sasa inatosha na kupuliza kipyenga chake cha mwisho na sio kabla timu inapoteza ushirikiano. Yanga nao wanakazi ya kufanya licha ya kuonekana wao wamekuwa wababe kurudisha mabao yao wasisahau kwamba ligi bado haijakamilika mambo yanaendelea.

Rai yangu kwa mashabiki siku zote wanapokwenda uwanjani wasiwe na matokeo yao mfukoni litawakosesha raha siku zote bali wanapaswa watambue kuwa kazi ya matokeo ni ndani ya Uwanja kwa wachezaji wenyewe.Simba wanaingia katika mchezo huu wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 34 katika mechi 13 walizocheza, ambapo wameshinda 11, sare moja na wamefungwa moja.

Yanga ambao wameshashuka uwanjani mara 11 wanashika nafasi ya pili nyuma ya Simba kwa tofauti ya pointi 10, wameshinda saba, sare tatu na wamefungwa moja. Huu ni mchezo wa tangu timu hizi zilipokutana kwa mara ya kwanza mwaka Mabingwa watetezi Simba ndio watakuwa wenyeji wa mchezo huu wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mchezo wao wa mwisho dhidi ya Ndanda FC, huku wakiwa na mwenendo mzuri wa matokeo ambapo wameshinda mechi zao zote nne zilizopita tena kwa ushindi mnono, walishinda dhidi ya KMC, mbele ya Lipuli FC, wakawapiga Arusha FC kwenye Kombe la FA.

Kwa upande wa Yanga katika mechi zao nne zilizopita ukiachana na ushindi mnono wa mabao waliopata katika mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Iringa United, mechi zilizopita wamepata ushindi a mwembamba, ambapo walishinda mbele ya Biashara United, dhidi ya Tanzania Prisons na kutoka suluhu na Mbeya City.

Mpambano huu unatarajiwa kuwa ni tofauti na ile iliyopita, kwani mashabaki walio wengi wanatarajia kuona mchezo mzuri na wamsisimko mkubwa kutokana na jinsi hali ya vikosi hivi viwili ilivyo kwa sasa. Leo Yanga wataingia uwanjani wakiwa na kiu ya kutaka kulipiza kisasi cha kufungwa bao walipokutana mara ya mwisho Februari 16 mwaka jana, bao likifungwa na Meddie Kagere dakika ya Kinachowaaminisha Yanga kuwa wana ubavu wa kupata ushindi leo licha ya wapinzani wao kuonekana wapo moto zaidi yao, ni kwamba walipofungwa katika mchezo huo uliopita wao walikuwa wanaongoza ligi, wakiwa na pointi 58 baada ya kucheza mechi 23, wakishinda 18, sare nne na kufungwa moja huku Simba wakiwa nafasi ya tano baada ya kubeba pointi 36 kwa kushinda mechi 11, sare tatu na kupoteza moja, hivyo kama Simba waliweza kwanini wao washindwe.

Matokeo ya mechi sita zilizowakutanisha watani hawa zinaonesha kuwa Simba imepata ushindi mara tatu zimetoka sare tatu Februari 16, Yanga SC Simba, mfungaji Meddie Kagere dakika ya 71, Septemba 30,timu hizi zilitoka suluhu, Aprili 29 Simba Yanga bao akifunga Erasto Nyoni dk 37 akiunganisha mpira wa faulo uliopigwa na Shiza Kichuya, Oktoba 28, timu hizi zilitoka sare ya kufungana bao bao la Simba likifungwa na Kichuya dk 57 la Yanga Obrey Chirwa dk Simba waliibuka na ushindi wa katika mchezo uliopigwa Februari 25mabao ya Simba yalifungwa na Laudit Mavugo dk 66 na Kichuya dk 81 la Yanga lilifungwa na Simon Msuva kwa mkwaju wa penalti dk 5 na Oktoba 1, timu hizi zilitoka sare yaYanga walianza kupata bao kupitia kwa Amissi Tambwe dk 26 Kichuya akaisawazishia Simba dk Licha ya Yanga kutaka kulipiza kisasi lakini Sven Vandenbroeck kocha wa Simba atataka kuendelea na rekodi yake nzuri aliyoanza nayo ya kubeba pointi tatu kuelekea kwenye kutimiza ahadi ya kuipa ubingwa timu yake.

Mbelgiji huyo, hiyo itakuwa ni mara yake ya kwanza kukutana na joto la mchezo dhidi ya Yanga ni wazi kuwa mapema tu alishapewa faili la mahasimu wao hao na kulisoma vilivyo kisha kupanga mbinu za kuwamaliza uwanjani. Kocha wa muda wa Yanga, Charles Mkwassa sio mgeni na mechi hizi anazifahamu nje ndani tangu wachezaji wa Wanajangwani hao na pia alipokuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu hiyo.

Katika kikosi hicho cha Simba utaona watakaokosekana ni Coulibaly, Juuko, Kotei, Okwi, Gyan pamoja na Okwi hivyo kunaipa nafasi kubwa ya Simba kupata ushindi katika mchezo huo kutokana na wachezaji wake wengi kukaa pamoja tangu msimu uliopita.

Ukikiangalia kikosi cha Yanga kilichocheza katika mchezo huo walioanza ni Ramadhan Kabwili, Paul Godfrey. Licha ya Yanga kuwa na mabadiliko hayo lakini maingizo mapya akiwemno Tariq Seif, Patrick Sibomana, David Molinga, Farouk Shikalo, Lamine Moro, Metacha Mnata wameonekana kuingia moja kwa moja katika mfumo wa kikosi hivyo hawataingia kinyonge na watataka kuwapa kile wanachokihitaji mashabiki wao. Lakini pamoja na hayo yote ni vigumu kutabiri mshindi kwani mara kadhaa tumeshuhudia matokeo yasiyotarajiwa kwa timu ambayo kwa kipindi hicho inaonekana ni dhaifu kuibuka na ushindi dhidi ya timu inayoonekana kama ni bora, hivyo sio ajabu Yanga kuifunga Simba.

Rais John Magufuli amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia Aprili Simba, Yanga mechi isiyotabirika abadani. Mohammed Mdose.

Angetile: Soka la vijana limeanguka. Mwandishi: Mohammed Mdose Mohammed Mdose. Nyumbani Michezo. Previous Next. Weka maoni yako. Habari Nyingine.

Pescados grandes mercurio

Angetile: Soka la vijana limeanguka dakika 29 zilizopita Grace Mkojera. Read More. GSM yavunja mzizi wa fitina saa 1 lililopita Mwandishi Wetu. All Rights Reserved.Ki ukweli pamoja na kwamba mpira una matokeo 3 ila wachezaji wa simba walicheza kibishoo sna pia benchi la ufundi waangalie vizur timu haina viziki kabisa pia nadhan jana mkude alikuwa na jambo kichwan kwake ika ajue simba ni timu kubwa ina fans wengi staki kumuhukumu ila ile ni daby ningetaman kumwona mkude anapambana ka tshishimbi au makapu hapa sizungumzii rafu iliyozaa goli ila ile rafu nyingine ingekuwa refa kutoka nje ni umeme now tumekubali matokeo simba nguvu moja.

Ni kujifunza tu. Kocha alikuwa anatakiwa afahamu mapema kipindi cha kwanza ya kuwa game plan ilifeli ila amekuja kubadili mfumo dk 15 za mwisho. Kuna wakati unacheza na forward mmoja na mwengine unacheza na wawili yote inategemea hali ya mchezo. Yote kwa yote tunaweza kukutana tena FA cup. Simba ilionyesha kuwa haikua na nguvu ya kupambana mwanzoni na maoni yangu ni kuwa hilo lilisababishwa na kuwa imetoka kucheza mchezo mgumu na Azam equally wa upinzani mwanzo mwisho kama wa Yanga.

Na ndani ya siku mbili miili ya wachezaji ilibaki bado na mchoko wa wazi kabisa kuanza tena kupambana kwa kasi ile ile kama mchezo uliopita.

Hata hivyo nawapa pongezi kuweza kurudi na kupambana, na haikuwa bahati yao jana kwani walipata nafasi nzuri za kushinda labda hata kuliko Yanga ndio mpira. Kuhusu ratiba hata mimi nimeshangazwa pia.

What is fpsc jobs

Yaani baada ya dabi tu kuna mechi jumanne na Singida Utd wakati mwenye viporo viwili hana mechi mpaka alhamisi. Wachezaji walionekana wamechoka mapema kabla ya mechi goli la kijinga tumefungwa basi bingwa ni mnyama tu hilo halina ubishi. Inaelekea kuna comment hamtaki zitokee, bas mngeelekeza mnataka tu za mlengo wenu mueleze mlengo up. Where is my publised comment! Labda kama kuna lugha isiyo ya kiungwana imetumika ila humu sijawahi kupata shida ya kupost comments.

Simba inabidi tubadilike sana kama mwakani tunataka kufikia level za Tp mazembe na Mamelod Sundown. Ukiangalia timu yetu upande wa golikipa, namba nne na namba tano inabidi benchi la ufundi wafanye mabadiliko haraka sana.

Manula, Kakolanya siyo makipa wazuri inabidi tutafute makipa Level za wakina Mwameja. Nyoni na Wawa umri umewatupa mkono. Sasa kilichotuponza jana ni kwamba kocha alipanga kikosi cha kufurahisha mashabiki, namaanisha Kagere na Bocco mmoja alitakiwa aanzie bechi halafu Deo Kanda na ile speed yake awasumbue Yanga.

Sababu kwanini YANGA wataifunga SIMBA

Ila yote ni mchezo wachezaji walijitahidi lakini bahati haikuwa yetu, ingawa ni goli la kipuuzi la Jonas Mkude.Post a Comment. KUNA wakati mgumu ambao mashabiki huwa wanapitia na kipindi hicho huwa ni matokeo mabaya ambayo wanayapata kupitia timu zao wanazozipenda pale ambapo wanaona zinashindwa kupata matokeo chanya.

Wapo ambao wanapenda kujifungia ndani na kuona shida kutoka nje pale ambapo timu yake inashindwa kupata matokeo ambayo alikuwa anayafikiria. Mashabiki wana hulka moja nzuri na ya ajabu muda mwingine kutokana na kushindwa kuzuia hisia zao pale ambapo timu yao inashindwa kupata matokeo Uwanjani. Hulka hiyo inawapasa iwe ni chachu ya kujitokeza kwa wingi Uwanjani kuwashuhudia wachezji wakipambana kutafuta matokeo kwenye mechi zote bila kujali timu yao inacheza na nani.

Tunatambua kwamba michuano ya Kombe la Shirikisho inaendelea japo kwa sasa imefika hatua ya 32 na Ligi Kuu Bara pia inaendelea ila bado kumekuwa na mwamko mdogo wa mashabiki kujitokeza uwanjani.

simba na yanga 2020 matokeo

Tunaona kwamba kuna baadhi ya mechi hazina kabisa wale mashabiki ambao walianza kupeperusha bendera za timu zao awali kutokana na kujitoa mwanzo mwisho. Kwa sasa wamekuwa wakichagua tu aina ya mchezo wanaoutaka kisha wanakwenda wakati huu tuvunje ule utaratibu wa kupuuzia kujitokeza uwanjani kushangilia timu zetu.

Mwaka huu ambao tumeuanza kwa mapenzi ya Mungu basi tunapaswa tufanye vitu vya tofauti na kuendelea kumshukuru yeye katika kila jambo bila kusahau kwamba tunaendelea kuombeana ili kufikia mafanikio. Hakuna ambaye anapenda kuona timu yake inaboronga ila wakati mwingine inatokea kutokana na ushindani ambao upo na kila timu inahitaji matokeo uwanjani hivyo mshindi lazima atokee. Mashabiki wamekuwa na kasumba ya kuumba matokeo mikononi mwao na kuyaweka mfukoni kisha wanaingia nayo uwanjani hili halipo sawa tuachane nalo mwaka tuanze kufanya mambo kwa utofauti.

Kujitabiria mazuri inaruhusiwa ila kuamini kwamba ulichotabiri kitatokea hilo ni suala lingine inabidi liwe kichwani mwako mwenyewe huku ukifikiria kupambana kwa ajili ya kutoa sapoti kwa timu yako muda wote. Kuna mengi ambayo wachezaji wanapaswa wayatazame hasa pale wanapopewa nafasi ndani ya uwanja kazi yao inabidi itimizwe ipasavyo kwani wakiboronga wanaharibu mfumo mzima wa kuaminiwa na benchi la ufundi.

Ushindi ambao unazungumziwa kwenye soka hauwezi kubadilika huwa unakuwa ni sare, kupoteza ama kushinda huu ndio ushindi kwani wakati timu moja inaumia ikiwa imepoteza ipo iliyoshinda hivyo yote ni matokeo yanatakiwa yakubaliwe. Ugumu na kiburi ambacho kilikuwa kwenye mioyo ya mashabiki kwa kushindwa kujitokeza uwanjani mwaka uliopita kiwekwe kando na kila mmoja abadilike na kuanza kufanya mambo kisasa zaidi ya mwaka jana.

Kwenye mpira kuna kanuni kubwa ambayo wachezaji wamekuwa wakifundisha ni kuhusu nidhamu ya mchezo nje na ndani ya Uwanja endapo wachezaji watafanikiwa kufuata hilo watafanikiwa.

Uwezo binafsi wa wachezaji pale ambapo wanashindwa kuzitumia mbinu za mwalimu na kuweza kurejea upya kwenye mfumo wa mwalimu utawasaidia kupata matokeo. Rai yangu kwa wachezaji wajiamini waache. Januari 4, uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba na Yanga ambao watakuwa wakicheza mchezo wa ligi kwa mara ya kwanza msimu huu watakutana uwanjani.

Hapa kila mmoja ana kazi na kufanya kile ambacho ataelekezwa na mwalimu na sio longolongo mpira ni ndani ya uwanja na sio nje ya uwanja. Tunahitaji kuona soka la kweli na burudani kwa timu zote mbili tuachane na ile kasumba ya kuleteana fujo ama zama za kuleteana visa na visasi muda wake umwekwisha kwa sasa ni amani tu inapaswa itawale. Wachezaji ndio ambao wamepewa dhamana ya kukamilisha shughuli uwanjani, mashabiki wajitokeze kwa wingi na kwa utulivu kuzipa sapoti timu zao.

Ushindani mzuri ni ule ambao hata unayeshindana naye ukimshinda hauwezi kumuonea huruma wala huwezi kujibeza unaamini umefanikiwa kupambana, ikiwa tofauti kuna maumivu unayapata. Tanzania yote na dunia kiujumla itakuwa ikifuatilia ni muda mzuri kwa mashabiki na wachezaji kuutumia mchezo huo kuwa sehemu sahihi ya kujitangaza ndani na nje ya Nchi kitaifa na kimataifa.

Mawakala wengi wanafuatilia soka letu la Bongo itakuwa ni darasa lao la bure kujifunza kitu cha pekee kwa timu zetu zinapopambana uwanjani na kuonyesha kwamba namna gani zina wachezai wazuri ambao wanaweza kupata dili jipya. Malengo ya mchezaji yanapaswa yawe ni mara mbili zaidi asisahau kwamba kuanza kwa mwaka mpya kunamaanisha kwamba kuna mambo kwake yanaongezeka na majukumu yanakuwa mengi.

Ni muda mzuri kwa wachezaji wote kutambua kwamba maisha yao ni soka, wanachotakiwa kufanya ni kupambana na kucheza soka safi litakalokonga mioyo ya mashabiki na wale wengine ambao si mashabiki ila wanapenda tu kutazama ushindani. Ushindani ukiwa bora kwenye ligi yetu ya Bongo kutafanya tusipate tabu kubwa kwenye mechi zetu zote za ushindani hasa kwa timu ya Taifa kwa kuwa tutakuwa na jeshi imara lenye nguvu.

Mashabiki wote kwangu ni rai yangu kuona kwamba kila mmoja atakayekwenda uwanjani awe sawa na aamini kwamba timu yake ina matokeo matatu mkononi na sio kitu kingine.

YANGA 1-0 SIMBA GOLI LA YANGA LEO .GOLI LA MORRISON LEO NA SIMBA MATOKEO YANGA NA SIMBA

Inabidi atambue kwamba kuna sare, kufungwa ama kushinda hakuna hesabu mpya licha a kwamba mwaka ni mpya kwenye uwanja wa soka.

Akipatia vema kanuni hiyo basi asiwe na presha ya kutafuta matokeo anayoyajua yeye anatakiwa aamini katika matokeo yake yote matatu na baada ya dakika tisini jibu lake atalipata baada ya mechi kuisha. Ligi yetu inazidi kukua taratibu na kwa kuwa mwaka ni mpya kuna mengi ya kufanyia kazi ikiwa ni pamoja na sehemu ya kuchezea kwani limekuwa ni tatizo kubwa. Timu nyingi zimekuwa zikipata tabu sehemu ya kuchezea kutokana na miundombinu yetu kutokuwa rafiki kwa muda wote jambo ambalo linafanya viwanja vizuri viwe vichache Bongo na vinahesabika.

Wadau tusapoti timu zetu zifanikiwe kuwa na ushindani pamoja na kupata matokeo ambayo ni chanya kwetu hasa kwa wakati tuliopo na kukumbuka kwamba ni jukumu la timu kuwa na uwanja ambao utakuwa rafiki.

Matokeo ya Mechi Simba na Yanga:2-2

Kufika uwanjani na kushangilia timu zetu ni jambo la faraja kwa wachezaji kwani wanaamini kuna watu nyuma yao ambao wanawafuatilia. Pia mashabiki napenda niwaambie maana kuna baadhi huwa na hofu juu ya viingilio ambavyo vinapangwa kwenye timu husika ikiwa inacheza. Suala la viingilio haipangi timu ni bodi ya ligi yenyewe ndio inafanya hivyo ile kasumba ya kufikiria timu zinatafuta faida inapaswa iwe wazi kwamba kila kitu kina utaratibu wake.Simba wanaingia katika mchezo huu wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi 34 katika mechi 13 walizocheza, ambapo wameshinda 11, sare moja na wamefungwa moja.

Yanga ambao wameshashuka uwanjani mara 11 wanashika nafasi ya pili nyuma ya Simba kwa tofauti ya pointi 10, wameshinda saba, sare tatu na wamefungwa moja. Huu ni mchezo wa tangu timu hizi zilipokutana kwa mara ya kwanza mwaka Mabingwa watetezi Simba ndio watakuwa wenyeji wa mchezo huu wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mchezo wao wa mwisho dhidi ya Ndanda FC, huku wakiwa na mwenendo mzuri wa matokeo ambapo wameshinda mechi zao zote nne zilizopita tena kwa ushindi mnono, walishinda dhidi ya KMC, mbele ya Lipuli FC, wakawapiga Arusha FC kwenye Kombe la FA.

Kwa upande wa Yanga katika mechi zao nne zilizopita ukiachana na ushindi mnono wa mabao waliopata katika mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Iringa United, mechi zilizopita wamepata ushindi a mwembamba, ambapo walishinda mbele ya Biashara United, dhidi ya Tanzania Prisons na kutoka suluhu na Mbeya City. Mpambano huu unatarajiwa kuwa ni tofauti na ile iliyopita, kwani mashabaki walio wengi wanatarajia kuona mchezo mzuri na wamsisimko mkubwa kutokana na jinsi hali ya vikosi hivi viwili ilivyo kwa sasa.

Leo Yanga wataingia uwanjani wakiwa na kiu ya kutaka kulipiza kisasi cha kufungwa bao walipokutana mara ya mwisho Februari 16 mwaka jana, bao likifungwa na Meddie Kagere dakika ya Kinachowaaminisha Yanga kuwa wana ubavu wa kupata ushindi leo licha ya wapinzani wao kuonekana wapo moto zaidi yao, ni kwamba walipofungwa katika mchezo huo uliopita wao walikuwa wanaongoza ligi, wakiwa na pointi 58 baada ya kucheza mechi 23, wakishinda 18, sare nne na kufungwa moja huku Simba wakiwa nafasi ya tano baada ya kubeba pointi 36 kwa kushinda mechi 11, sare tatu na kupoteza moja, hivyo kama Simba waliweza kwanini wao washindwe.

Matokeo ya mechi sita zilizowakutanisha watani hawa zinaonesha kuwa Simba imepata ushindi mara tatu zimetoka sare tatu Februari 16, Yanga SC Simba, mfungaji Meddie Kagere dakika ya 71, Septemba 30,timu hizi zilitoka suluhu, Aprili 29 Simba Yanga bao akifunga Erasto Nyoni dk 37 akiunganisha mpira wa faulo uliopigwa na Shiza Kichuya, Oktoba 28, timu hizi zilitoka sare ya kufungana bao bao la Simba likifungwa na Kichuya dk 57 la Yanga Obrey Chirwa dk Simba waliibuka na ushindi wa katika mchezo uliopigwa Februari 25mabao ya Simba yalifungwa na Laudit Mavugo dk 66 na Kichuya dk 81 la Yanga lilifungwa na Simon Msuva kwa mkwaju wa penalti dk 5 na Oktoba 1, timu hizi zilitoka sare yaYanga walianza kupata bao kupitia kwa Amissi Tambwe dk 26 Kichuya akaisawazishia Simba dk Licha ya Yanga kutaka kulipiza kisasi lakini Sven Vandenbroeck kocha wa Simba atataka kuendelea na rekodi yake nzuri aliyoanza nayo ya kubeba pointi tatu kuelekea kwenye kutimiza ahadi ya kuipa ubingwa timu yake.

Mbelgiji huyo, hiyo itakuwa ni mara yake ya kwanza kukutana na joto la mchezo dhidi ya Yanga ni wazi kuwa mapema tu alishapewa faili la mahasimu wao hao na kulisoma vilivyo kisha kupanga mbinu za kuwamaliza uwanjani.

simba na yanga 2020 matokeo

Kocha wa muda wa Yanga, Charles Mkwassa sio mgeni na mechi hizi anazifahamu nje ndani tangu wachezaji wa Wanajangwani hao na pia alipokuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu hiyo.

Katika kikosi hicho cha Simba utaona watakaokosekana ni Coulibaly, Juuko, Kotei, Okwi, Gyan pamoja na Okwi hivyo kunaipa nafasi kubwa ya Simba kupata ushindi katika mchezo huo kutokana na wachezaji wake wengi kukaa pamoja tangu msimu uliopita.

Ukikiangalia kikosi cha Yanga kilichocheza katika mchezo huo walioanza ni Ramadhan Kabwili, Paul Godfrey. Licha ya Yanga kuwa na mabadiliko hayo lakini maingizo mapya akiwemno Tariq Seif, Patrick Sibomana, David Molinga, Farouk Shikalo, Lamine Moro, Metacha Mnata wameonekana kuingia moja kwa moja katika mfumo wa kikosi hivyo hawataingia kinyonge na watataka kuwapa kile wanachokihitaji mashabiki wao. Lakini pamoja na hayo yote ni vigumu kutabiri mshindi kwani mara kadhaa tumeshuhudia matokeo yasiyotarajiwa kwa timu ambayo kwa kipindi hicho inaonekana ni dhaifu kuibuka na ushindi dhidi ya timu inayoonekana kama ni bora, hivyo sio ajabu Yanga kuifunga Simba.

Rais John Magufuli amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia Aprili Simba, Yanga mechi isiyotabirika abadani.

Mohammed Mdose. Angetile: Soka la vijana limeanguka. Mwandishi: Mohammed Mdose Mohammed Mdose. Nyumbani Michezo. Previous Next. Weka maoni yako. Habari Nyingine. Angetile: Soka la vijana limeanguka dakika 28 zilizopita Grace Mkojera.

Read More.

Nfl draft trade simulator

GSM yavunja mzizi wa fitina saa 1 lililopita Mwandishi Wetu. All Rights Reserved.Mchezo wa watani wa Jadi maarufu kama Kariakoo Dabie umemalizika katika uwanja wa Taifa Dar es salaam kwa kufungana bao Mchezo ulianza kwa pande zote mbili kuonyesha mashambulizi makali na simba kujipatia goli dakika ya 42 kwa mkwaju wa penaliti toka kwa Meddie Kagere.

Mpaka mpira unaenda mapumuziko Simba Yanga. Kipindi cha pili kilianza kwa mashambulizi makali tokea pande zote mbili na dakika 46 za kipindi cha pili Simba ikajipatia bao la pili tokea kwa Deo Kanda. Yanga waliingia kwa mbinu tofauti katika kipindi cha pili na kufanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 50 toka kwa Mapinduzi na baadaye kupata goli la pili la kusawazisha dakika ya 53 lilofungwa na Hussein.

Mpaka mwamuzi wa mchezo huu Jonesia Rukia kutoka mkoani kagera anapuliza kipyenga Simba Yanga. Kwa habari mbalimbali za michezo na Burudani pakua app ya Phidtech sports playstore Pia kama unahitaji kututumia habari au kuwasiliana nasi tumia Whatsap number na Email:servicces phidtech. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.

simba na yanga 2020 matokeo

More Stories 1 min read. Sports National. Leave a Reply Cancel reply Your email address will not be published. Comment Name Email Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. You may have missed.

Wananchi walalamikia kupanda kwa Sukari Missenyi.


thoughts on “Simba na yanga 2020 matokeo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *